Tabia ya wasanii wa bongo fleva kuigana katika mambo mbalimbali bado ni tatizo. Baada ya kuibuka kwa msanii anayefanya vizuri kwenye bongo fleva anayejulikana kwa jina la Rich Mavoko anayefanyia shughuli zake jijini Dar, sasa kaibuka kijana mwingine anayejiita J Mavoko kutoka wilayani Nzega mkoani Tabora.
No comments:
Post a Comment